Quran Apps in many lanuages:

Surah At-Takwir Ayahs #17 Translated in Swahili

وَإِذَا الْجَنَّةُ أُزْلِفَتْ
Na Pepo ikasogezwa,
عَلِمَتْ نَفْسٌ مَا أَحْضَرَتْ
Kila nafsi itajua ilicho kihudhurisha.
فَلَا أُقْسِمُ بِالْخُنَّسِ
Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma,
الْجَوَارِ الْكُنَّسِ
Zinazo kwenda, kisha zikajificha,
وَاللَّيْلِ إِذَا عَسْعَسَ
Na kwa usiku unapo pungua,

Choose other languages: