Quran Apps in many lanuages:

Surah At-Takwir Ayahs #18 Translated in Swahili

عَلِمَتْ نَفْسٌ مَا أَحْضَرَتْ
Kila nafsi itajua ilicho kihudhurisha.
فَلَا أُقْسِمُ بِالْخُنَّسِ
Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma,
الْجَوَارِ الْكُنَّسِ
Zinazo kwenda, kisha zikajificha,
وَاللَّيْلِ إِذَا عَسْعَسَ
Na kwa usiku unapo pungua,
وَالصُّبْحِ إِذَا تَنَفَّسَ
Na kwa asubuhi inapo pambazuka,

Choose other languages: