Quran Apps in many lanuages:

Surah An-Naziat Ayahs #15 Translated in Swahili

أَإِذَا كُنَّا عِظَامًا نَخِرَةً
Hata tukiwa mifupa iliyo bunguliwa?
قَالُوا تِلْكَ إِذًا كَرَّةٌ خَاسِرَةٌ
Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye khasara!
فَإِنَّمَا هِيَ زَجْرَةٌ وَاحِدَةٌ
Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu,
فَإِذَا هُمْ بِالسَّاهِرَةِ
Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano!
هَلْ أَتَاكَ حَدِيثُ مُوسَىٰ
Je! Imekufikia hadithi ya Musa?

Choose other languages: