Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Mutaffifin Ayahs #10 Translated in Swahili

يَوْمَ يَقُومُ النَّاسُ لِرَبِّ الْعَالَمِينَ
Siku watapo msimamia watu Mola Mlezi wa walimwengu wote?
كَلَّا إِنَّ كِتَابَ الْفُجَّارِ لَفِي سِجِّينٍ
Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin.
وَمَا أَدْرَاكَ مَا سِجِّينٌ
Unajua nini Sijjin?
كِتَابٌ مَرْقُومٌ
Kitabu kilicho andikwa.
وَيْلٌ يَوْمَئِذٍ لِلْمُكَذِّبِينَ
Ole wao siku hiyo kwa wanao kadhibisha!

Choose other languages: