Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Mutaffifin Ayahs #9 Translated in Swahili

لِيَوْمٍ عَظِيمٍ
Katika Siku iliyo kuu,
يَوْمَ يَقُومُ النَّاسُ لِرَبِّ الْعَالَمِينَ
Siku watapo msimamia watu Mola Mlezi wa walimwengu wote?
كَلَّا إِنَّ كِتَابَ الْفُجَّارِ لَفِي سِجِّينٍ
Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin.
وَمَا أَدْرَاكَ مَا سِجِّينٌ
Unajua nini Sijjin?
كِتَابٌ مَرْقُومٌ
Kitabu kilicho andikwa.

Choose other languages: