Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Mutaffifin Ayahs #11 Translated in Swahili

كَلَّا إِنَّ كِتَابَ الْفُجَّارِ لَفِي سِجِّينٍ
Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin.
وَمَا أَدْرَاكَ مَا سِجِّينٌ
Unajua nini Sijjin?
كِتَابٌ مَرْقُومٌ
Kitabu kilicho andikwa.
وَيْلٌ يَوْمَئِذٍ لِلْمُكَذِّبِينَ
Ole wao siku hiyo kwa wanao kadhibisha!
الَّذِينَ يُكَذِّبُونَ بِيَوْمِ الدِّينِ
Ambao wanaikadhibisha Siku ya Malipo.

Choose other languages: