Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Maarij Ayahs #25 Translated in Swahili

وَإِذَا مَسَّهُ الْخَيْرُ مَنُوعًا
Na inapo mgusa kheri huizuilia.
إِلَّا الْمُصَلِّينَ
Isipo kuwa wanao sali,
الَّذِينَ هُمْ عَلَىٰ صَلَاتِهِمْ دَائِمُونَ
Ambao wanadumisha Sala zao,
وَالَّذِينَ فِي أَمْوَالِهِمْ حَقٌّ مَعْلُومٌ
Na ambao katika mali yao iko haki maalumu
لِلسَّائِلِ وَالْمَحْرُومِ
Kwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba;

Choose other languages: