Quran Apps in many lanuages:

Surah Abasa Ayahs #31 Translated in Swahili

فَأَنْبَتْنَا فِيهَا حَبًّا
Kisha tukaotesha humo nafaka,
وَعِنَبًا وَقَضْبًا
Na zabibu, na mimea ya majani,
وَزَيْتُونًا وَنَخْلًا
Na mizaituni, na mitende,
وَحَدَائِقَ غُلْبًا
Na bustani zenye miti iliyo songana baraabara,
وَفَاكِهَةً وَأَبًّا
Na matunda, na malisho ya wanyama;

Choose other languages: