Quran Apps in many lanuages:

Surah Abasa Ayahs #34 Translated in Swahili

وَحَدَائِقَ غُلْبًا
Na bustani zenye miti iliyo songana baraabara,
وَفَاكِهَةً وَأَبًّا
Na matunda, na malisho ya wanyama;
مَتَاعًا لَكُمْ وَلِأَنْعَامِكُمْ
Kwa manufaa yenu na mifugo yenu.
فَإِذَا جَاءَتِ الصَّاخَّةُ
Basi utakapo kuja ukelele,
يَوْمَ يَفِرُّ الْمَرْءُ مِنْ أَخِيهِ
Siku ambayo mtu atamkimbia nduguye,

Choose other languages: