Quran Apps in many lanuages:

Surah Abasa Ayahs #35 Translated in Swahili

وَفَاكِهَةً وَأَبًّا
Na matunda, na malisho ya wanyama;
مَتَاعًا لَكُمْ وَلِأَنْعَامِكُمْ
Kwa manufaa yenu na mifugo yenu.
فَإِذَا جَاءَتِ الصَّاخَّةُ
Basi utakapo kuja ukelele,
يَوْمَ يَفِرُّ الْمَرْءُ مِنْ أَخِيهِ
Siku ambayo mtu atamkimbia nduguye,
وَأُمِّهِ وَأَبِيهِ
Na mamaye na babaye,

Choose other languages: