Quran Apps in many lanuages:

Surah Abasa Ayahs #32 Translated in Swahili

وَعِنَبًا وَقَضْبًا
Na zabibu, na mimea ya majani,
وَزَيْتُونًا وَنَخْلًا
Na mizaituni, na mitende,
وَحَدَائِقَ غُلْبًا
Na bustani zenye miti iliyo songana baraabara,
وَفَاكِهَةً وَأَبًّا
Na matunda, na malisho ya wanyama;
مَتَاعًا لَكُمْ وَلِأَنْعَامِكُمْ
Kwa manufaa yenu na mifugo yenu.

Choose other languages: