Quran Apps in many lanuages:

Surah Abasa Ayahs #30 Translated in Swahili

ثُمَّ شَقَقْنَا الْأَرْضَ شَقًّا
Tena tukaipasua pasua ardhi kwa nguvu,
فَأَنْبَتْنَا فِيهَا حَبًّا
Kisha tukaotesha humo nafaka,
وَعِنَبًا وَقَضْبًا
Na zabibu, na mimea ya majani,
وَزَيْتُونًا وَنَخْلًا
Na mizaituni, na mitende,
وَحَدَائِقَ غُلْبًا
Na bustani zenye miti iliyo songana baraabara,

Choose other languages: