Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Waqia Ayahs #40 Translated in Swahili

فَجَعَلْنَاهُنَّ أَبْكَارًا
Na tutawafanya vijana,
عُرُبًا أَتْرَابًا
Wanapendana na waume zao, hirimu moja.
لِأَصْحَابِ الْيَمِينِ
Kwa ajili ya watu wa kuliani.
ثُلَّةٌ مِنَ الْأَوَّلِينَ
Fungu kubwa katika wa mwanzo,
وَثُلَّةٌ مِنَ الْآخِرِينَ
Na fungu kubwa katika wa mwisho.

Choose other languages: