Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Waqia Ayahs #43 Translated in Swahili

ثُلَّةٌ مِنَ الْأَوَّلِينَ
Fungu kubwa katika wa mwanzo,
وَثُلَّةٌ مِنَ الْآخِرِينَ
Na fungu kubwa katika wa mwisho.
وَأَصْحَابُ الشِّمَالِ مَا أَصْحَابُ الشِّمَالِ
Na watu wa kushotoni; je ni yepi ya wa kushotoni?
فِي سَمُومٍ وَحَمِيمٍ
Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka,
وَظِلٍّ مِنْ يَحْمُومٍ
Na kivuli cha moshi mweusi,

Choose other languages: