Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Waqia Ayahs #14 Translated in Swahili

وَالسَّابِقُونَ السَّابِقُونَ
Na wa mbele watakuwa mbele.
أُولَٰئِكَ الْمُقَرَّبُونَ
Hao ndio watakao karibishwa
فِي جَنَّاتِ النَّعِيمِ
Katika Bustani zenye neema.
ثُلَّةٌ مِنَ الْأَوَّلِينَ
Fungu kubwa katika wa mwanzo,
وَقَلِيلٌ مِنَ الْآخِرِينَ
Na wachache katika wa mwisho.

Choose other languages: