Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Waqia Ayahs #15 Translated in Swahili

أُولَٰئِكَ الْمُقَرَّبُونَ
Hao ndio watakao karibishwa
فِي جَنَّاتِ النَّعِيمِ
Katika Bustani zenye neema.
ثُلَّةٌ مِنَ الْأَوَّلِينَ
Fungu kubwa katika wa mwanzo,
وَقَلِيلٌ مِنَ الْآخِرِينَ
Na wachache katika wa mwisho.
عَلَىٰ سُرُرٍ مَوْضُونَةٍ
Watakuwa juu ya viti vya fakhari vilivyo tonewa.

Choose other languages: