Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Waqia Ayahs #13 Translated in Swahili

وَأَصْحَابُ الْمَشْأَمَةِ مَا أَصْحَابُ الْمَشْأَمَةِ
Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni?
وَالسَّابِقُونَ السَّابِقُونَ
Na wa mbele watakuwa mbele.
أُولَٰئِكَ الْمُقَرَّبُونَ
Hao ndio watakao karibishwa
فِي جَنَّاتِ النَّعِيمِ
Katika Bustani zenye neema.
ثُلَّةٌ مِنَ الْأَوَّلِينَ
Fungu kubwa katika wa mwanzo,

Choose other languages: