Quran Apps in many lanuages:

Surah At-Tariq Ayahs #16 Translated in Swahili

وَالْأَرْضِ ذَاتِ الصَّدْعِ
Na kwa ardhi inayo pasuka!
إِنَّهُ لَقَوْلٌ فَصْلٌ
Hakika hii ni kauli ya kupambanua.
وَمَا هُوَ بِالْهَزْلِ
Wala si mzaha.
إِنَّهُمْ يَكِيدُونَ كَيْدًا
Hakika wao wanapanga mpango.
وَأَكِيدُ كَيْدًا
Na Mimi napanga mpango.

Choose other languages: