Quran Apps in many lanuages:

Surah At-Tariq Ayahs #15 Translated in Swahili

وَالسَّمَاءِ ذَاتِ الرَّجْعِ
Naapa kwa mbingu yenye marejeo!
وَالْأَرْضِ ذَاتِ الصَّدْعِ
Na kwa ardhi inayo pasuka!
إِنَّهُ لَقَوْلٌ فَصْلٌ
Hakika hii ni kauli ya kupambanua.
وَمَا هُوَ بِالْهَزْلِ
Wala si mzaha.
إِنَّهُمْ يَكِيدُونَ كَيْدًا
Hakika wao wanapanga mpango.

Choose other languages: