Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Ala Ayahs #13 Translated in Swahili

فَذَكِّرْ إِنْ نَفَعَتِ الذِّكْرَىٰ
Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa.
سَيَذَّكَّرُ مَنْ يَخْشَىٰ
Atakumbuka mwenye kuogopa.
وَيَتَجَنَّبُهَا الْأَشْقَى
Na atajitenga mbali nayo mpotovu,
الَّذِي يَصْلَى النَّارَ الْكُبْرَىٰ
Ambaye atauingia Moto mkubwa.
ثُمَّ لَا يَمُوتُ فِيهَا وَلَا يَحْيَىٰ
Tena humo hatakufa wala hawi hai.

Choose other languages: