Quran Apps in many lanuages:

Surah Abasa Ayahs #18 Translated in Swahili

مَرْفُوعَةٍ مُطَهَّرَةٍ
Zilizo inuliwa, zilizo takaswa.
بِأَيْدِي سَفَرَةٍ
Zimo mikononi mwa Malaika waandishi,
كِرَامٍ بَرَرَةٍ
Watukufu, wema.
قُتِلَ الْإِنْسَانُ مَا أَكْفَرَهُ
Ameangamia mwanaadamu! Nini kinacho mkufurisha?
مِنْ أَيِّ شَيْءٍ خَلَقَهُ
Kwa kitu gani amemuumba?

Choose other languages: