Quran Apps in many lanuages:

Surah Abasa Ayahs #17 Translated in Swahili

فِي صُحُفٍ مُكَرَّمَةٍ
Yamo katika kurasa zilizo hishimiwa,
مَرْفُوعَةٍ مُطَهَّرَةٍ
Zilizo inuliwa, zilizo takaswa.
بِأَيْدِي سَفَرَةٍ
Zimo mikononi mwa Malaika waandishi,
كِرَامٍ بَرَرَةٍ
Watukufu, wema.
قُتِلَ الْإِنْسَانُ مَا أَكْفَرَهُ
Ameangamia mwanaadamu! Nini kinacho mkufurisha?

Choose other languages: