Quran Apps in many lanuages:

Surah As-Saaffat Ayahs #4 Translated in Swahili

وَالصَّافَّاتِ صَفًّا
Naapa kwa wanao jipanga kwa safu.
فَالزَّاجِرَاتِ زَجْرًا
Na kwa wenye kukataza mabaya.
فَالتَّالِيَاتِ ذِكْرًا
Na kwa wenye kusoma Ukumbusho.
إِنَّ إِلَٰهَكُمْ لَوَاحِدٌ
Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja.

Choose other languages: