Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Waqia Ayahs #33 Translated in Swahili

وَطَلْحٍ مَنْضُودٍ
Na migomba iliyo pangiliwa,
وَظِلٍّ مَمْدُودٍ
Na kivuli kilicho tanda,
وَمَاءٍ مَسْكُوبٍ
Na maji yanayo miminika,
وَفَاكِهَةٍ كَثِيرَةٍ
Na matunda mengi,
لَا مَقْطُوعَةٍ وَلَا مَمْنُوعَةٍ
Hayatindikii wala hayakatazwi,

Choose other languages: