Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Qiyama Ayahs #10 Translated in Swahili

يَسْأَلُ أَيَّانَ يَوْمُ الْقِيَامَةِ
Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama?
فَإِذَا بَرِقَ الْبَصَرُ
Basi jicho litapo dawaa,
وَخَسَفَ الْقَمَرُ
Na mwezi utapo patwa,
وَجُمِعَ الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ
Na likakusanywa jua na mwezi,
يَقُولُ الْإِنْسَانُ يَوْمَئِذٍ أَيْنَ الْمَفَرُّ
Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio?

Choose other languages: