Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Qiyama Ayahs #36 Translated in Swahili

وَلَٰكِنْ كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ
Bali alikanusha, na akageuka.
ثُمَّ ذَهَبَ إِلَىٰ أَهْلِهِ يَتَمَطَّىٰ
Kisha akenda kwa ahali zake kwa matao.
أَوْلَىٰ لَكَ فَأَوْلَىٰ
Ole wako, ole wako!
ثُمَّ أَوْلَىٰ لَكَ فَأَوْلَىٰ
Kisha Ole wako, ole wako!
أَيَحْسَبُ الْإِنْسَانُ أَنْ يُتْرَكَ سُدًى
Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure?

Choose other languages: