Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Qiyama Ayahs #35 Translated in Swahili

فَلَا صَدَّقَ وَلَا صَلَّىٰ
Kwa sababu hakusadiki, wala hakusali.
وَلَٰكِنْ كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ
Bali alikanusha, na akageuka.
ثُمَّ ذَهَبَ إِلَىٰ أَهْلِهِ يَتَمَطَّىٰ
Kisha akenda kwa ahali zake kwa matao.
أَوْلَىٰ لَكَ فَأَوْلَىٰ
Ole wako, ole wako!
ثُمَّ أَوْلَىٰ لَكَ فَأَوْلَىٰ
Kisha Ole wako, ole wako!

Choose other languages: