Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Muddaththir Ayahs #15 Translated in Swahili

ذَرْنِي وَمَنْ خَلَقْتُ وَحِيدًا
Niache peke yangu na niliye muumba;
وَجَعَلْتُ لَهُ مَالًا مَمْدُودًا
Na nikamjaalia awe na mali mengi,
وَبَنِينَ شُهُودًا
Na wana wanao onekana,
وَمَهَّدْتُ لَهُ تَمْهِيدًا
Na nikamtgenezea mambo vizuri kabisa.
ثُمَّ يَطْمَعُ أَنْ أَزِيدَ
Kisha anatumai nimzidishie!

Choose other languages: