Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Muddaththir Ayahs #14 Translated in Swahili

عَلَى الْكَافِرِينَ غَيْرُ يَسِيرٍ
Kwa makafiri haitakuwa nyepesi.
ذَرْنِي وَمَنْ خَلَقْتُ وَحِيدًا
Niache peke yangu na niliye muumba;
وَجَعَلْتُ لَهُ مَالًا مَمْدُودًا
Na nikamjaalia awe na mali mengi,
وَبَنِينَ شُهُودًا
Na wana wanao onekana,
وَمَهَّدْتُ لَهُ تَمْهِيدًا
Na nikamtgenezea mambo vizuri kabisa.

Choose other languages: