Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Inshiqaq Ayahs #21 Translated in Swahili

وَاللَّيْلِ وَمَا وَسَقَ
Na kwa usiku na unavyo vikusanya,
وَالْقَمَرِ إِذَا اتَّسَقَ
Na kwa mwezi unapo pevuka,
لَتَرْكَبُنَّ طَبَقًا عَنْ طَبَقٍ
Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka!
فَمَا لَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
Basi wana nini hawaamini?
وَإِذَا قُرِئَ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنُ لَا يَسْجُدُونَ ۩
Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu?

Choose other languages: