Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Fajr Ayahs #5 Translated in Swahili

وَالْفَجْرِ
Naapa kwa alfajiri,
وَلَيَالٍ عَشْرٍ
Na kwa masiku kumi,
وَالشَّفْعِ وَالْوَتْرِ
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,
وَاللَّيْلِ إِذَا يَسْرِ
Na kwa usiku unapo pita,
هَلْ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٌ لِذِي حِجْرٍ
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?

Choose other languages: