Quran Apps in many lanuages:

Surah Abasa Ayahs #13 Translated in Swahili

وَهُوَ يَخْشَىٰ
Naye anaogopa,
فَأَنْتَ عَنْهُ تَلَهَّىٰ
Ndio wewe unampuuza?
كَلَّا إِنَّهَا تَذْكِرَةٌ
Sivyo hivyo! Huku ni kukumbushana.
فَمَنْ شَاءَ ذَكَرَهُ
Basi anaye penda akumbuke.
فِي صُحُفٍ مُكَرَّمَةٍ
Yamo katika kurasa zilizo hishimiwa,

Choose other languages: